Jinsi ya Kuupdate Simu ya Android kutoka Kitkat, Lollipop, Marshmallow kwenda Pie

kuna baadhi ya App hazikubali kuwa installed kwenye simu zenye versio ndogo mfano android kitKat. Ukinstall inakataa au inakuletea ujumbe huu Your device isn't compatible with version. Pia tunaupdate ili kuongeza ulinzi wa simu

Matoleo ya simu

Android 1.5: Android Cupcake
Android 1.6: Android Donut
Android 2.0: Android Eclair
Android 2.2: Android Froyo
Android 2.3: Android Gingerbread
Android 3.0: Android Honeycomb
Android 4.0: Android Ice Cream Sandwich
Android 4.1 to 4.3.1: Android Jelly Bean
Android 4.4 to 4.4.4: Android KitKat
Android 5.0 to 5.1.1: Android Lollipop
Android 6.0 to 6.0.1: Android Marshmallow
Android 7.0 to 7.1: Android Nougat
Android 8.0 to Android 8.1: Android Oreo
Android 9.0: Android Pie

Jinsi ya kuupdate Android Version bila computer kwa kutumia System Update. Hakikisha simu yako imeunganishwa na internet

NJIA YA KWANZA

1. Ingia Settings. Bonyeza About phone



2. Bonyeza System Update


 3. Update your phone



NJIA YA PILI

Muhimu

- Hii njia inatumia Custom ROM kuupdate Android version kwenda kwenye version yoyote ile. Hizi custom ROM zinatengenezwa na watu binafsi kulingana na mahitaji yake.
- Unatakiwa uroot kwanza simu yako vinginevyo hautaweza kuupdate Android yako
- Back up firmware ya simu yako ili ikishindwa kuwaka unaflash tena kwa hiyo firmware. Kama utashindwa kuback up firmware. Unaweza download firmware yako kisha unaflash simu yako

Jinsi ya kuback up android firmware ya simu yako

- Jinsi ya kubackup firmware kwa simu za Mediatek kutumia Miracle box 
- Jinsi ya kubackup firmware kwa simu za SPD kwa kutumia Miracle box

Jinsi ya kubackup Firmware ya simu kwa kutumia APK

1. Download Rashr – Flash Tool apk kisha install kwenye simu yako
2. Ifungue kisha Bonyeza Backup, weka tiki kwenye Boot, Unboot, NVRAM, System, na Cache. Bonyeza Storage na weka tiki kwenye SD Card, kisha tap on Swipe to Back Up. Subiri mpaka imalize

- Soma comment za watu kwenye website uliyoingia kudownload firmware. Kutafuta firmware ya Android version unayoitaka

Jjinsi ya Ku-update simu yako ya android kutoka kitkat kwenda Lollilop au Pie

1. Baada ya kuroot simu yako

2. Tafuta ROM yenye Version ya Lollipop, Marshmallow n.k kulingana na jina la simu yako. Google kisha flash kwa njia ya kawaida

Jinsi ya kuflash simu za Huawei, HTC, Vodafone, ZTE, TECNO kwa kutumia SP Flash Tool
Jinsi ya kuflash simu za Samsung kwa kutumia Odin
Jinsi ya kuflash simu za Itel kwa kutumia SPD Research Tool

Kuna baadhi ya simu za mediatek kama Tecno, Vodafone n.k zinasumbua kupata Update custom ROM kwahiyo kama utakosa tumia njia hii kuupdate

Muhimu

Lazima u-root simu yako kwanza. 
1. Download Kingo root apk au Master root apk na install kwenye simu yako.
2. Fungua Application yako na hakikisha simu yako iwe connected na internet ili uweze kuroot.
3. Baada ya kuroot, Utaona application ya Kinguser imejitotokeza kwa maana kuwa zoezi lako la kuroot simu limefanikiwa. Download Root Checker apk kuangalia simu yako kama ipo rooted.

1. Download Root Browser apk
2. Ifungue kisha bonyeza System na kisha Build Prop
3. Chagua kufungulia kwa njia ya RB Text Editor. 
4. Angalia Android Version kulingana na ya simu yako. Mfano Android 4.4.4
5. Futa hizo namba andika android version unayoitaka
Android 5.1.1
Android 6.0.1
Android 7.0 
Android 8.0 

Android 9.0

6. Save na Reboot simu yako. Ukienda settings >>> About Phone utakuta Android Version imebadilika 

Au 
1. Download Root Explorer na install kwenye simu yako.
2. Ifungue kisha bonyeza System



2. Bonyeza na hold kwenye build.prop kisha bonyeza vidoti 3 kulia mwa app yako


3. kisha bonyeza Open in Text Editor


4. Utaletewa ujumbe unaosema "Warning The current file system is read only. Do you want to remount as read-write and continue the operation? Bonyeza Yes
Tafuta neno lilioandikwa "ro.build.version.release=4.2.2" Hapa futa "4.2.2" na weka version 
Android 5.1.1
Android 6.0.1
Android 7.0 
Android 8.0 

Android 9.0
Usiweke version ambayo haipo kwasababu simu yako haitawaka na utahitaji u-flash tena. 



5. Baada ya kuandika (yangu nimeandika 8.0). Bonyeza vidoti 3 kisha Save changes au Save and Exit. Reboot au restart simu yako.



6. Android Version itabadilika kulingana na version uliyoiweka


Important Notice

Hakikisha umeweka Android Version inayopatikana kwasababu ukiweka ambayo haipo simu yako haitawaka na utahitaji uiflash ili simu yako iweze kuwaka. 

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.