Tengeneza Pesa mtandaoni na PropellerAds


PropellerAds ni kampuni ya matangazo ambayo inawalipa watu wanaomiliki blog na website kwa kuweka matangazo yao kwa mfumo wa CPM ( Cost Per Thousand Visits). Hii ni kampuni ambayo haina masharti kama kampuni zingine. Na utapiga pesa sana kama utakuwa na traffic ya kutoka USA, South Afrika, Canada na UK. Haya hapa  ni Magroup ya South Afrika
Inakubali kwa lugha yoyote ile duniani hata kama unapost 1 au hauna utaweza kujiunga na Propeller Ads, Utajiunga siku hiyo hiyo na kukubaliwa siku hiyo hiyo. Kwasasa Propeller Ads wanataka site zenye Custom domain yaani zenye .com, .net, .tk, .co.tz, nk. Jinsi ya kupata free custom domain na kulink na blog yako. Utaweza kupokea pesa yako kupitia bank wire transfer, Payoneer na Paypal

Muhimu

Matangazo yote hayaonekani kwenye blog au website ila mtu akiclick sehemu yoyote kwenye blog yako, utafunguka ukurasa wa pili wa matangazo kwahiyo usiwe na wasi wasi kwa kuona matangazo hayaonekani kwenye blog yako. Jinsi ya kutengeneza pesa na Propeller Ads
Hii kampuni ina matangazo ya aina tano.

1. Smart link (Direct ads)
 Ni aina ya matangazo ambayo huwekwa kwenye picha au neno lolote kwahiyo ukibonyeza kwenye neno au picha utafunguka ukurasa mwingine kwenye browser yako
  
2. Onclick (Popunder)
 Ni aina ya matangazo ambayo ukigusa sehemu yoyote kwenye blog au website automatically utafunguka ukurusa mwingine wenye matangazo kwenye browser yako
 
3. Interstitial
 Haya ni aina ya matangazo yanayoziba ukurasa wote. Mpaka u-close ndiyo upate kusoma

4. Native subscriptions
 Haya ni aina ya matangazo ambayo ukifungua blog au website yenye hili tangazo hufunguka kingere juu kushot mwa browser yako
   
5. Banner
Haya ni aina matangazo ambayo yana mfumo wa picha lakini yakiwa hayaonekani. Unaweza kuweka sehemu yoyote ile kwenye blog yako. 

Matangazo mazuri ni Native subscriptions na Smart link. Tumia Native subscriptions ni nzuri sana. Ila kama unataka kupiga hela chap chap tumia Interstitial na Onclick (Popunder).

Jinsi ya kujiunga na PropellerAds hatua kwa hatua. Tengeneza Pesa online na Propeller Ads

1. Ingia kwenye website ya PropellerAds. Juu kulia mwa browser yako bonyeza Sign Up



2.  Itafunguka page nyingine kwenye browser yako. Bonyeza  SIGN UP kwenye I'm A Publisher



3. Kwenye Sign Up (Fill in your details below to get started). Weka individual as an account type. Jaza taarifa muhimu. Kisha bonyeza Submit form yako. Hakikisha unaweka taarifa za kweli na active email.



4. Ingia kwenye email yako na bonyeza  Verify account 



6. Weka password yako yenye tarakimu 8 zijumuishe neno, namba, na alama za uandishi kama @,!. mabula5@. kisha bonyeza Finish and log in. Kumbuka email yako ndiyo Username yako.



7. Kwenye Account ya PropellerAds. Bonyeza Sites >>> Add site. Weka Url ya blog au website yako. Hakikisha url ya blog yako ina custom domain kama vile .com, .tk, .net, .co.tz n.k



8. Kwenye Website domain weka blog au website url kupata meta tags


     
JINSI YA KUBADILISHA PASSWORD NA BAADHI YA TAARIFA KWENYE PROPELLERADS ACCOUNT

1. Ingia kwenye Profile Settings. Hapo utaweza kubadilisha taarifa zako na utazi-submit tena.



2. Kubadili password. Juu Kulia mwa browser yako kwenye Profile Setting kwa chini utaona Password change, bonyeza hapo kubadili password
yako.



JINSI YA KUWEKA MATANGAZO YA PROPELLERADS KWENYE BLOG AU WEBSITE

Hii ni hatua muhimu sana ya kuweka matangazo ili uweze kulipwa. Hapa utapewa meta tag na code na utaweza kuziweka kwenye blog au website yako ili uanze kulipwa. Hu ndiyo muda wa kutengeneza pesa na propeller ads

Download hii video hapo chini ina maelezo yote jinsi ya kuweka matangazo kuanzia Smart link (Direct ads), Onclick (Popunder), Interstitial na Native subscriptions




Hizi ndizo nchi zenye CPM kubwa. Ukipata watembeleaji kutoka katika nchi hizi utatengeneza pesa sana. Ili uweze kuwapata. Jiunge na magroup ya nchi husika facebook kisha anza kushare post zako kwenye hayo magroup

Read more >>>> Jinsi ya kutengeneza wavuti (blog) bure- hatua kwa hatua

3 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.