Jinsi Ya kutengeneza App Yoyote Bure Ya Android Bila Ya Kuwa Na Ujuzi

Kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike application.

Hii ni website ambayo itakurahisishia kutengeneza Android application hata kama hauna ujuzi wowote wa lugha.

Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Android application bure bila ya kuwa na ujuzi wowote 

1. Ingia kwenye Website ya App.Yet. Bonyeza Get Started


2. Bonyeza Sign up today


3. Jaza taarifa kama vile inavyotaka. Kisha weka tiki kwenye i'm not a robot. Bonyeza Sign Up


4. Jaza taarifa kama inavyoonekana kwenye picha. Bonyeza i'm not a robot kisha create App


5. Weka link ya App yako


6. Bonyeza Build my app na Application itakuwa tayari na itatumwa kwenye email yako

5 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.