Jinsi ya Kujiunga na Kukubaliwa na Google Adsense kwa Urahisi Zaidi

Google Adsense ni kampuni ya matangazo ambayo hutumika kuwalipa watu wenye Forum, Blog App (Admod ni kwa ajili ya Apps lakini ni kampuni ya Google Adsense) au Website kwa njia ya matangazo. Baada ya kujiunga na Adsense itakupa code na utaweka kwenye blog au website yako kwahiyo matangazo yataanza kuonekana kwenye site. Kabla haujapewa code ya kuweka kwenye blog au website yako Google Adsense watapitia blog au website yako kuangalia na watatumia masaa 24 au 36. Utatumia njia ya sanduku la posta (PO.BOX ) kupokea Google adsense Pin na kisha utaverify kwenye website ya Google adsense yako kwahiyo mtu akibonyeza tangazo utaweza kulipwa kwa mfumo wa CPM (cost per thousand visits)  na utaweza kupokea hela yako kupitia Western Union, Paypal, au Bank wire transfer kama utakuwa na pesa nyingi. 

Download Postcode-TZ ni muhimu sana wakati wa kujaza taarifa zako kwenye Google Adsense. Tengeneza pesa mtandaoni na Google Adsense

JINSI YA KUONGEZA ADS IMPRESSION KWENYE BLOG AU WEBSITE YAKO

- Tumia Themes kama Sahifa  au Niva press 
- Kabla ya article weka tangazo, katikati weka tangazo na mwishoni weka tangazo
- Tumia Ad inserter kuweka tangazo mwanzoni, mwishoni na WP quads kuweka katikati (Hizi ni za Wordpress kwa blogspot ingia YouTube kuna Tutorial nyingi sana
- Share kwenye social media kama Facebook, Twitter na zingine 

JINSI YA KUEPUKA KUFUNGIWA NA GOOGLE ADSENSE

- Jitahidi kuwa na Page ctr below or equal to 15. Na hakikisha una traffic ya kutosha. Tangazo baada ya kufungua articles lianze baada ya paragraph ya kwanza na jumla ya matangazo yote yawe 25%. 
Kwahiyo weka tangazo ambapo mtu mpaka aguse atakuwa ametumia sekunde 30 au 45. CTR ni muda wa tangazo linapowekwa na watu kulibonyeza ili kutengeneza impression



Page ctr ikiwa hivi lazima ufungiwe



Tayari utakuwa umetengeneza impression yakutosha kwahiyo utakuwa na CTR 2%. Hapo hautafungiwa
- Usiclick matangazo ya Adsense mwenyewe utafungiwa, acha watu wakiclick wenyewe wala usiwaombe watu wackilick matangazo maana utafungiwa muda si mrefu. Hata kama
- Usichanganye adsense na propeller maana utafungiwa kama unataka kuchanganya kwenye Propeller tumia Direct link ads pekee
- Usinunue traffic 

JINSI YA KUPANDISHA CPC

- Andika niche zenye CPC kubwa na pia target kwa dunia nzima.
- Weka matangazo yako vizuri
- Andika kwa kuzingatia keyword zenye CPC kubwa



ONYO

- Usinunue Google Adsense account kwa mtu yoyote kwasababu utafungiwa muda wowote ule

Haya ni mambo muhimu ambayo yatakusaidia kujiunga na Google Adsense na kukubaliwa kwa haraka

1. Hakikisha content zako umeandika kwa lugha ya kiingereza (Ni lazima). Unaweza kuandika kuhusu masula ya Health, Technology, Ajira n.k kama utapost matangazo ya ajira badilisha title ila angalia usipoteze maana. Ukitumia lugha tofauti na Kiingereza hautakubaliwa na Google Adsense. 

2. Hakikisha content zako ni Original yaani usi-copy na ku-paste kutoka kwenye blog au website zingine. Hakikisha content zako ni original na epuka mambo ya ngono, kutumia lugha ya matusi, kumkashifu mtu, kuandika mambo ya udukuzi na crack software n.k. Post zako ziwe zinatatua matatizo ya watu . Copy na kupaste kutafanya baadhi ya post zako kutoonekana kwenye Google search engine kupitia SEO (Search Engine Optimization) na hautaweza
kukubaliwa na Google Adsense. Jinsi ya kujua blog au website ina content za kucopy na kupaste

3. Tengeneza Menu bar angalau ziwe 4 au 5 na sub menu bar pia kama una mambo mengi ya kuandika


4. Post zako angalau ziwe 25 na kuendelea. Weka posts zisizopungua 25 ndani ya siku 3 au zaidi na hakikisha zipo 25

5. Weka vipengele vya About, privacy Policy, Disclaimer, terms and conditions na Contact us



Jinsi ya Kuandika na kuweka Terms & conditions, Disclaimer na policies. Tembelea ya websitepoliciesKwa maelezo zaidi download hii video





6. Weka template ambayo ni premium ili kuleta mvuto kwenye website yako. Kununua template tembelea hapa Gooyaabitemplates

7. Weka Custom domain kama itawezekana, nakushauri chukua .com (Haizidi dola 13 kwa mwaka). Utaweza kupata kwa domain kwa USD 1 ukisearch Google Domain Coupons. Weka coupon utakayopata kwenye website ya Godaddy Promo Code. Ingia Godaddy kama utashindwa chukua ya bure kama .tk, .ga, .ml. Jinsi ya kupata free custom domain bure na kulink na blog yako

- Ukiomba Google Adsense kwa kutumia custom domain .com, .tk, .ml n.k  utapewa non-hosted ambayo itafanya kazi kuanzia blogspot na Wordpress

- Ukiomba Google Adsense kwa blogspot (agath64a.blogspot.com) au wordpress (agath64a.wordpress.com) utapewa hosted account ambayo matangazo yake yataonekana kwenye blogspot na wordpress tu.


8. Ondoa Facebook, Twitter, Blog archive, Instagram, Email me, na matangazo mengine ambayo hayana ulazima wowote kwenye blog yako

9. Blog yako iwe imetimiza angalau mwezi mmoja

Ukikubaliwa na Adsense ukiweka matangazo itachukua siku moja au mbili ndipo matangazo yataoneka kwenye blog au website yako.

Top 10 Google Adsense High Paying Keywords 

1. Insurance Highest CPC $54.91

2. Mortgage Highest CPC $47.12

3. Attorney HIghest CPC $47.07

4. Degree Highest CPC $46.61

5. Claim Highest CPC $45.51

6. Loans Highest CPC $44.28

7. Lawyer Highest CPC $42.51

8. Donate Highest CPC $42.12

9. Credit Highest CPC $36.06

10. Hosting Highest CPC $31.91


Highest CPC Keyword List 

    World trade center footage ($95.02)
    Massage school dallas texas ($94.90)
    Psychic for free ($94.61)
    Donate old cars to charity ($94.55)
    Low credit line credit cards ($94.49)
    Dallas mesothelioma attorneys ($94.33)
    Car insurance quotes mn ($94.29)
    Donate your car for money ($94.01)
    Cheap auto insurance in va ($93.84)
    Met auto ($93.70)
    Forensics online course ($93.51)
    Home phone internet bundle ($93.32)
    Donating used cars to charity ($93.17)
    PHD. in counseling education ($92.99)
    Neuson ($92.89)
    Car insurance quotes pa ($92.88)
    Royalty free images stock ($92.76)
    Car insurance in south dakota ($92.72)
    Email bulk service ($92.55)
    Mesothelioma law firm ($179)
    Donate car to charity california ($130)
    Donate car for tax credit ($126.6)
    Donate cars in ma ($125)
    Donate your car sacramento ($118.20)
    How to donate a car in california ($111.21)
    Injury lawyers ($60.79)
    Personal injury law firm ($60.56)
    Online criminal justice degree ($60.4)
    Car insurance companies ($58.66)
    Dedicated hosting, dedicated server hosting ($53)
    Insurance companies ($52)
    Business voip solutions ($51.9)
    Auto mobile insurance quote ($50)
    Auto mobile shipping quote ($50)
    Seo services (16$)
    Best seo company (16$)
    Business management software (15$)
    Best social media platforms (15$)
    Seo company (15$)
    Online christmas cards (14$)
    Custom christmas cards (14$)
    Photo christmas cards (13$)
    Wordpress themes for designers (13$)
    Wordpress hosting (13$)
    Psd to wordpress (12$)
    Social media examiner (12$)
    Social media management (12$)
    Tech school (12$)
    Html email (11$)
    Social media platforms (11$)
    Adobe illustrator classes (10$)
    Social media strategies (10$)
    Learning adobe illustrator (9$)
    Social media tools (9$)
    Online college course ($78)
    Automobile accident attorney ($76.57)
    Auto accident attorney ($75.64)
    Car accident lawyers ($75.17)
    Data recovery raid ($73.22)
    Futuristic architecture ($91.44)
    Car donate ($88.26)
    Car donate ($88.26)
    Automobile accident attorney ($76.57)
    Rehab $46.14
    Psychic $43.78
    Timeshare $42.13
    Hvac $41.24
    Business software $41.12
    Medical needs $40.73
    Loans $40.69
    Plumber $39.19
    Termites $38.88
    Pest control $38.84
    Casino $55.48
    Asset management $49.86
    Insurance $48.41
    Cash services & payday loans $48.18
    Degree $47.36
    Medical coding services $46.84
    Google adwords $30.06
    Injury lawyers ($60.79)
    Personal injury law firm ($60.56)
    Online criminal justice degree ($60.4)
    Car insurance companies ($ 58.66 )
    Business voip solutions ($ 51.9 )
    
Highest CPC Keyword in Tanzania

    Download website – $1-$5
    Health– $1 -$2
    Make MOny – $3-$5
    Technology– $1
    Blogging – $0.40-$1
    SEO – $1-$5 

Google Adsense High CPC Keywords List

    Mesothelioma Law Firm ($179)
    Donate Car to Charity California ($130)
    Donate Car for Tax Credit ($126.6)
    How to Donate A Car in California ($111.21)
    Donate Cars in MA ($125)
    Donate Your Car Sacramento ($118.20)
    Sell Annuity Payment ($107.46)
    Donate Your Car for Kids ($106)
    Asbestos Lawyers ($105.84)
    Structures Annuity Settlement ($100.8)
    Car Insurance Quotes Colorado ($100.9)
    Annuity Settlements ($100.72)
    Nunavut Culture ($99.52)
    Dayton Freight Lines ($99.39)
    Hard drive Data Recovery Services ($98.59)
    Donate a Car in Maryland ($98.51)
    Motor Replacements ($98.43)
    Cheap Domain Registration Hosting ($98.39)
    Donating a Car in Maryland ($98.20)
    Donate Cars Illinois ($98.13)
    Criminal Defense Attorneys Florida ($98)
    Best Criminal Lawyers in Arizona ($97.93)
    Car Insurance Quotes Utah ($97.92)
    Life Insurance Co Lincoln ($97.07)
    Holland Michigan College ($95.74)
    Online Motor Insurance Quotes ($95.73)

High CPC AdWords Ads For Adsense

    Online Colleges ($95.65)
    Paperport Promotional Code ($95.13)
    Online Classes ($95.06)
    World Trade Center Footage ($95.02)
    Massage School Dallas Texas ($94.90)
    Psychic for Free ($94.61)
    Donate Old Cars to Charity ($94.55)
    Low Credit Line Credit Cards ($94.49)
    Dallas Mesothelioma Attorneys ($94.33)
    Car Insurance Quotes MN ($94.29)
    Donate your Car for Money ($94.01)
    Cheap Auto Insurance in VA ($93.84)
    Met Auto ($93.70)
    Forensics Online Course ($93.51)
    Home Phone Internet Bundle ($93.32)
    Donating Used Cars to Charity ($93.17)
    PHD on Counseling Education ($92.99)
    Neuson ($92.89)
    Car Insurance Quotes PA ($92.88)
    Royalty Free Images Stock ($92.76)
    Car Insurance in South Dakota ($92.72)
    Email Bulk Service ($92.55)
    Webex Costs ($92.38)
    Cheap Car Insurance for Ladies ($92.23)
    Cheap Car Insurance in Virginia ($92.03)
    Register Free Domains ($92.03)
    Better Conference Calls ($91.44)
    Futuristic Architecture ($91.44)
    Mortgage Adviser ($91.29)
    Car Donate ($88.26)
    Virtual Data Rooms ($83.18)
    Online College Course ($78)
    Automobile Accident Attorney ($76.57)
    Auto Accident Attorney ($75.64)
    Car Accident Lawyers ($75.17)
    Data Recovery Raid ($73.22)
    Criminal lawyer Miami ($70)
    Motor Insurance Quotes ($68.61)
    Personal Injury Lawyers ($66.53)
    Car Insurance Quotes ($61.03)
    Asbestos Lung Cancer ($60.96)
    Injury Lawyers ($60.79)
    Personal Injury Law Firm ($60.56)
    Online Criminal Justice Degree ($60.4)
    Car Insurance Companies ($58.66)
    Dedicated Hosting, Dedicated Server Hosting ($53)
    Insurance Companies ($52)
    Business VIP Solutions ($51.9)
    Auto Mobile Insurance Quote ($50)
    Auto Mobile Shipping Quote ($50)
    Health Records, Personal Health Record ($40)
    Online Stock Trading ($35)
    Forex Trading Platform ($20)

Highest CPC Keyword in Tanzania

    Download website – $1-$5
    Health– $1 -$2
    Make Money online – $3-$5
    Technology– $1
    Blogging – $0.40-$1
    SEO – $1-$5 

Jinsi ya kujiunga na Google Adsense hatua kwa hatua





Kama utaomba na utaambiwa insufficient content na invalid traffic

-Ujue hauna content za kutosha au content zako ni za kucopy na kupaste kutoka kwenye site kubwa
- Unatumia Bot Traffic (Unanunua traffic kutoka kwenye site zingine). Unatakiwa uache Spamming
-Invalid click ni kubonyeza matangazo au mtu kubonyeza matangazo zaidi ya mara 3 

Jinsi Kuset matangazo ya Google Adsense kwa maneno

Ingia kwenye account yako ya Google Adsense. Nenda kwenye Ad Unit na ubonyeze kwenye neno New ad Unit hapo chagua in Text and Display. Utapelekwa kwenye ads size. Bonyeza kwenye Recommended na uchague link Ads. Maneno yatawekwa na Google Adsense wenyewe.



Important Notice
Kama utatumia lugha ya Kiswahili, Tumia Propeller, Seebait,  PinPoint Africa au Kwanza

3 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.