Jinsi ya kutengeneza kipato mtandaoni
Watu wengi huwa hawahamini kama unaweza kutengeneza pesa online / mtandaoni. Kuna watu wanatengeza USD 2000 kwa mwezi ambayo kibongo bongo ni pesa ndefu. Kama wewe ni mtumiaji wa internet ni muda muafaka wa kupiga pesa mtandaoni.
1. ONLINE SURVEY
Kumbuka utakapoulizwa je, una ndugu, jamaa au rafiki anayefanya kazi kwenye makampuni ya matangazo? Ukijibu ndiyo biashara imeishia hapo maana utakuwa haujaqualify. Unatakiwa ujibu Hapana. Hizi website ni za uhakika wa 100% hakuna longo longo.
A. PREMISE
Huu ni mmoja ya site nzuri ya kupiga pesa kwa survey na pesa yako unaweza kudraw kwa njia ya Mpesa au Tigo pesa. Download Premise apk na install kwenye simu yako na kisha jaza detail zinazohitajika baada ya hapo utaanza kufanya tasks. Ikiomba Location fungua GPS kwenye simu yako
Hapo unaibonyeza hiyo task halafu itatokea neno reserve. Ukibonyeza kwenye reserve inakuwa yako kwa masaa 8. Nakushauri usi-reserve task kabla ya saa 12 alfajiri kwasababu utakataliwa.
B. GEOPOLL
Hii ni pia bonge la survey site ya kupiga pesa mtandao. Download Geopoll apk na install kwenye simu yako kisha anza kutengeneza pesa
3. SPENN
Hii ukialika mtu unapata 2000 na unayemualika anapata 1000. Download Spenn apk na install kwenye simu yako
4. MOBIWORKX
Hii ni pia bonge la survey site ya kupiga pesa mtandao. Download Mobiworkx apk na install kwenye simu yako kisha anza kutengeneza pesa
5. PILLOWBUX
Ingia kwenye website ya Pillowbux. Tengeneza account kisha anza kutengeneza pesa
Other
DENT APP
Hii inatoa vocha za simu bure kama Vodacom, TCCL, na Halotel ukijiunga. Pia unaweza kutengeneza link ambayo kila mtu akiitumia hiyo link kudownload na akijiunga utapewa 1000 kwa kila atakayejiunga na app ya Dent. Download Dent apk na install kwenye simu yako ili upate vocha bure
2. BLOGGING
1. Jinsi ya kutengeneza blog bila malipo yoyote hatua kwa hatua
2. Jinsi ya kuweka template kwenye blog yako. Japokuwa Blog zinakuwa na default Template lakini zinakuwa siyo nzuri kwa muonekano.
3. Jinsi ya kuweka free custom domain bure kwenye blog yako
Ili uweze kutengeneza pesa kupitia blogging lazima ujiunge na Ad networks company kama vile Google Adsense, Infolinks, Propeller na zingine
Unaweza kuweka matangazo ya kampuni mbili kama vile Adsense na Propeller kwenye blog yako. Ila ni vizuri ukatumia kampuni mmoja kama ni propeller au Adsense
i. Adsense
Hawa wanalipa kwa traffic ya nchi yoyote ile ila sharti content zako ziwe za kiingereza. Jinsi ya kukubaliwa na Google Adsense kwa urahisi zaidi. Jiunge na Google adsense now. Jinsi ya kukubaliwa na Google Adsense kwa haraka zaidi
ii. PropellerAds
Hawa hawana masharti na huwa hawafungii blog au website yako na wanaruhusu lugha yoyote ile. Propeller ads unajiunga siku hiyo hiyo na unakubaliwa siku hiyo hiyo na haina masharti yoyote na haufungii. Kwa sasa Propeller wanakubali Blog zenye custom domain kama .com, .tk nk. Jinsi ya kupata free custom bure na kulink na blog yako
Jinsi ya kujiunga na Propeller Ads hatua kwa hatua. Tengeneza pesa na propeller Ads
iii. Ad Now
iv. Adsterra
Hizi zinasupport content za kiswahili
v. Kwanza
Wanalipa kwa mfumo wa CPM
vi. Pinpoint Africa
Wanalipa kwa mfumo wa CPM na CPC
vii. Seebait
Kujiunga ni rahisi sana na wanalipa kwa mfumo wa CPM na hawangalii idadi ya Views. Wanatumia code kama za
Adsense ila zao zipo kwenye mfumo wa javascript
viii. News
Kujiunga ni rahisi sana na wanalipa kwa mfumo wa CPM
Pia kwenye Blog au website yako unaweza kuingia makubaliano na makampuni kama vile Vodacom, Tigo, Cocacola n.k ili kuonesha matangazo yao na wanakulipa hata mtu binafsi pia anaweza kutangaza biashara yake kupitia blog au website yako.
Kumbuka msingi wa kupata fedha kupitia bloging ni traffic yaani watembeleaji hivyo kabla ya kuhangaika na kupata Ads Company gani inafaa hakikisha unayo traffic ya kutosha kupitia mitandao ya kijamii au SEO, na iwe pure traffic. Unaweza kushare blog yako kupata watembeleaji kwenye mitandao ya kijamii. Usijaribu kujiunga na scam online kupitia kitu kinaitwa uwekezaji mtandaoni yaani kununua watembeleaji au kufanya janja yoyote maana, utafungiwa. To make money online inabidi utulize akili na utambue nini unatakiwa kufanya. Usikurupuke, fikiria unataka ufanye nini, je, unataka uandike kuhusu masuala ya habari, Health, ajira, technology, Music, movies au kuuza na kununua vitu online? shughulika na kitu kimoja itakusaidia kuandika makala nyingi ila ukichanganya mambo utajikuta umeshindwa cha kuandika.
Kupiga pesa online ni jambo rahisi sana kama utaiset akili yako kwenye ubunifu katika kuandika makala, kutafuta traffic (watembeleaji) na kuangalia ni kampuni gani ni nzuri kwa matangazo na inayolipa. Usiandike kwa kufuata mkumbo. Tuliza akili na egemea kwenye jambo moja kama utajishughulisha na afya, ajira, technology, n.k
3. YOUTUBE
Jinsi ya kutengeneza Youtube account na kupata pesa kupitia Youtube channel
4. FREELANCING
Hizi ni site ambayo hutumika mtu kuuza ujuzi (Kufanya kazi za watu mbali mbali mtandaoni) kulingana na uhitaji na ubobezi wako. Mtu anaweza kutafuta translater, lawyer, Dr, Technician n.k
Website za Freelancing ni
- UpWork.com
- Freelance.com
- Fiverr.com
5. AFFILIATE MARKETING
Hii ni site ambayo hutumika kupromote bidhaa za watu. Wewe unawashawishi watu wanunue bidhaa kwahiyo wakishanunua unapewa commission kwa kila bidhaa itakayonunulia.
Jiunge na Click bank ili uweze kutengeneza pesa kupitia affiliate marketing
6. ARTICLE WRITING
Hapa utaweza kuandikia watu makala (Articles) kwenye blog au website zao kulingana na keyword zinatumika sana kwenye Google search engine (SEO). Kuna watu wengi sana wanahitaji kuandikiwa ila hawajui waanzie wapi.
Njia nzuri ya kujitangaza ni kwenye mitandao ya kijamii kama Facebok, Quora, Twitter, Jamii Forum n.k
Utapata pesa yako uliyotengeneza mtandaoni kupitia Payoneer, Paypal, Wire Transfer na Western Union si lazima uwe na bank account ili uweze kupewa pesa yako.

nimesoma makala yako lakini naona imenichanganya maana zote ulizo sema nataman kuzifanya zote
ReplyDeletenaomba kuuliza nalipwaye mm kwa kamisheni au vp
Mimi natakanipate pesa kwenye au pesa zine kwenye namba yangu ya tigo
DeleteDuuuh kunamalipo yapoje
DeleteWhich the best?
ReplyDeleteNimeielewa. Nitaipitia tena ili nipate moja wapo ya kuitumia. Asante sana.
ReplyDeleteumenipa maunjanja
ReplyDeleteumenipa maunjanja
ReplyDeleteMbna sahvi hatuoni updating za new content
ReplyDeleteNilitingwa kidogo. Nimeandaa post zaidi ya 150 hivi. Kuna mabadiliko makubwa utayaona kwenye hii blog muda si mrefu. Ni muda
Delete💪
ReplyDeleteAsante
ReplyDeleteHello
ReplyDeleteNi kweli haya mambo
ReplyDeleteContent yako ni nzuri lakini haijelenga ipi ni bora zaidi maana zote zinaonekana nzuri na mtu angependa afanye ama kujaribu mbali mbali, nafauu uweke kwa listwise protocol ipi nzuri ipi mbaya ama worse .
ReplyDeleteJinsi ya kutengeneza blog naomba kujua
ReplyDeleteHello kama utojali 0686477577 ni2mie namb yak au nitextkuna ki2 natak niuliz hapo
ReplyDeleteSawa usijali ndugu
Delete