Pata notes za chuo za course yoyote pamoja na past papers

Je, unahitaji notes za chuo pamoja na past papers zake? Hii ni blog ambayo itakusaidia kusoma notes za Tourism, LG, Sociology, History, Geography, ICT, Research, na course zingine pamoja na past papers zake za mwaka 1, 2 na 3. Notes zote ni bure, hakuna malipo yoyote yanayohitaji wala kujisajili.

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.