Jinsi ya kuweka (Embed) video za youtube kwenye blog yako


Una Youtube Account au umeona video Youtube na umeipenda na unataka kuiweka kwenye Blog yako ili watu waione. Tumia njia hii kuweka Youtube video kwenye blog yako

Hatua za kufuata ili kuembed Youtube Video kwenye blog yako

1. Ingia kwenye Website ya Youtube. Bonyeza Share


2. Bonyeza Embed


3. Bonyeza Copy 


4. Ingia kwenye Blog yako. Bonyeza Posts kisha New Post

5. Bonyeza HTML 


6. Paste src kwenye HTML


7. Na Video yako itaonekana kama hivi kwenye blog yako

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.