Jinsi ya kutengeza Bootable Windows DVD
Hii njia itakusaidia kutengeneza Bootable windows XP, 7, 8, 8.1 na 10 DVD na Utaweza kuinstall windows kwenye computer yako kwa kutumia DVD
Mahitaji
Download Power ISO
Namna ya kutengenza Bootable windows DVD
1. Download Power ISO na install kwenye computer yako. Fungua program yako
2. Copy files zote kwenye folder la windows. Bonyeza Ctrl + A kisha drag and drop kwenye Power ISO
3. Badilisha iwe DVD
4. Bonyeza Action kisha Add Boot Information
5. Bonyeza kwenye folder
6. Bonyeza Boot
7. Bonyeza kwenye Boot Image File type iwe All Files. Chagua Etfsboot kisha bonyeza Open
8. Bonyeza OK
9. Imebadilika na kuwa Bootable Image. Bonyeza Burn.
10. Burn Windows yako
10. Unaweza kusave Bootable windows Image
Read more Activate Microsoft Windows XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1 & 10

Post a Comment