Jinsi ya kuondoa Program yoyote kwenye Computer


Unahitaji kuunistall program au Windows apps yoyote kwenye computer yako? Tumia njia hii ambayo itakusaidia kufuta (ku-uninstall) program yoyote kwenye computer.
Kwa kutumia njia hii utaweza
1. Kuuninstall Program au Windows apps yoyote kwenye computer yako
2. Utaweza ku-uninstall program yoyote inayoomba password na huikumbuki
3. Utaweza kufuta mabaki yoyote ya program kwenye Local disk C (Program files)
4. Utaweza kufuta mabaki yaliyokuwa kwenye Regedit

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.