Jinsi ya kuongeza Perfomance ya Computer yako
Je, Computer yako ni nzito au inachelewa kufungua program au mafile? Basi njia hii itakuwezesha computer yako iwe haraka kufungua mafile au program kwa muda mfupi.
Njia hii ni salama na pia hutumiwa na watu wengi kuongeza uwezo wa computer (inatumika kwenye Laptop & Desktop).
Baada ya kutumia njia hii, computer yako itakuwa nyepesi na itakuwa haraka kufungua program na mafile kwa muda mfupi.
Njia hii inatumika kwenye Windows zote 7, 8, 8.1 & 10
Post a Comment