Jinsi ya kudownload movies na series kwenye simu na computer
Hizi ni njia rahisi ambazo zitakusaidia kudownload movies na series kwenye simu na computer yako bure.
1. GOOGLE
Kupitia Google utaweza kupakua movies na series unazotaka zenye high quality na low quality kulingana na mahitaji yako
Ingia Google andika Index of movies: hii kama unatafuta movie, kama unatafuta series andika index of series: likifuatiwa na jina la series unayotaka. Utaletewa website nyingi chagua mojawapo. unaweza kuandika hivi
Index of series Gangs of London
Index of series: Gangs of London
Index of Gangs of London
2. WEBSITE
Hapa kuna website nyingi ambazo unaweza kuangalia na kudownload movies na series bure kwenye simu na computer yako. Utaweza kudownload movies na series zaidi ya 100000+ bure kwenye simu na computer na zenye high quality
A. Kimcartoon
B. Kissanime
C. Dramanice
D. Kissasian
E. Tricksforpc
F. Dramanice
G. Netflix
3. YOUTUBE
Hapa utaangalia na kudownload movies na series zaidi 1000+ zenye high quality kuanzia 720p & 1080p bure kwenye simu na computer. Pia utapata movies na series zilizotafsiriwa kutoka kwa madj wa hapa bongo na wengine
4. APPLICATION
Kuna application ambazo utaweza kupakua na kuinstall bure kwenye simu yako na utaweza kuangalia movies na series bure kwenye simu. Hakuna malipo yoyote yanayohitajika, ni wewe na bando lako tu la internet
A. Onebox HD
B. Cotomovies
C. CyberFlix
D. Movie play red
E. LiveStream Player
F. OnlineTV
Nimekuandalia kitabu ambacho kitakusaidia kuangalia na kudownload movies na series bure kwenye simu na computer yako. Utaweza kudownload movies na series nyingi zaidi 100000+ bure mtandaoni
Post a Comment