Jinsi ya kuactivate Windows 7,8, 8.1, 8.1.1 & 10 kwenye computer yako

Mahitaji

-Download All In One Activator na ui-extract kwenye computer yako. Hii in-activate window  7, 8, 8.1, 8.1.1, & 10
-Download Windows activator ina activate Windows, Sever, Vista,  XP, 7, 8  8.1  10 and Office 2010, 2013 & 2016
-Download Product key ambayo utairun na itasoma product ya window yako na utaweza kuactivate kwa kutumia key. Inafanya kazi kwenye window zote

HATUA

1. Zima Antivirus kwenye computer yako. Kisha extract Windows Activator kwenye computer yako. Kisha Right click na run as an Administrator


2. Bonyeza I accept

3. Bonyeza Active. Subiri sekunde kadhaa ili software iactivate window yako


4.  Mpaka hapa windows yako itakuwa activated 


No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.