Jinsi ya kui-jailbreak Nokia Belle Refresh

Kujailbreak simu ni kumuwezesha mtumiaji wa simu awe na mamlaka kamili ya utumiaji wa simu. Baada ya kujailbreak utaweza kupunguza, kuongeza au kurekebisha mfumo mzima wa simu kwa upande wa software. Utaweza kubadili font, kuweka app zisizoruhusiwa kwenye simu yako n.k

Mahitaji

Download X-plorerer
Download Rom Patcher Plus 03.1 Lite
Download Rom Patcher Plus 3.1
Download Norton Symantec
Download Install+Server+1.7+RP+

Tumia njia hii kujailbreak Nokia 500, N8, E7, C6, C7,X7 & Nokia Oro 

1. Install Norton Hack.sis, X-Plorer and Rom Patcher Plus kwenye simu yako (Install on C:drive, kama ikuuliza)




2. Fungua Norton Hack


3. Bonyeza kwenye Option-Antivirus-Quarantine List




4. Chini ya Quarantine list. Utaweza kuona baadhi ya files. Sasa bonyeza Option, kisha Restore all. Baaba ya kubonyeza Restore all button, utaletewa ujumbe unaosema "Do you want to restore all entries from the Quarantine". Bonyeza Yes kuendelea




5. Hatua hii inabidi uninstall au u-delete Norton Hack.sis kwenye simu yako. Bonyeza kwenye application ya Norton Security baada ya muda italeta menu yenye kipengele cha delete. Bonyeza kwenye delete utakuwa umeshaitoa


6. Ifungue Rom Patcher kwenye simu yako


7. Utaona kuna two options yaani Install Server RP+ na Open4all RP+. Chagua Open4all Rp+ 




8. Bonyeza kwenye Open4all Rp+  mara mbili. Baada ya kubonyeza the blue icon turns into green 




9. Kisha bonyeza kwenye Option button na chagua All patches>Apply




10. Fungua X-Plore




11. Tafuta folder la software ulizozidownload (za kwangu niliziweka kwenye folder la Received files. Chagua Install Server 1.7RP+




12. Copy au move the Install Server 1.7RP+.rmp to C: Patches


13. Weka file lako la Install Server 1.7RP+kwenye folder la C:Patches


14. Sasa, rudi kwenye Rom Patcher+ 




15. kisha chagua Install ServerRP+ 1.7 RP+ option




16. kisha bonyeza kwenye option button na select Add to Auto




17. Bonyeza kwenye Options button na chagua All patches>Apply



18. Restart simu yako. Mpaka hapo utakuwa umeshajailbreak simu yako

You may also like Jinsi ya kuflash simu ya Nokia Symbian ka kutumia Phoenix na jinsi ya kuflash kwa kutumia infinity box (Nokia Best BB5)

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.