Jinsi ya kufix tab za browser yako kufunguka zenyewe kwenye computer
Hili tatizo linasababishwa na virus anayeitwa Adware ambaye hufanya tab za browser yako zifunguke nyingi pale unapofungua tab mmoja kwenye browser yako.
Hatua za kufuata
1. Download Malwarebytes Premium or Kaspersky Internet Security na install kwenye computer yako
2. Scan computer yako kwa antivirus. Ku-uninstall na kuinstall siyo njia
sahihi ya kumtoa Virus sababu bado ataendelea kuwepo.
Jinsi ya kurudisha Shorcut files kwenye flash drive
Ukifungua flash drive yako utaona mafaili yamekuwa shortcut au usiyaone kabisa
1. Mkono wa kulia juu kwenye computer yako utaona neno Search kwenye kibox
2. Click kweye Search box. Press and hold down Shift button + 8 button kwa pamoja italeta alama ya * Hapo utaona document zako zote zilizokuwa kwenye flash drive na zitakuwa kwenye original format.
Kuondoa tatizo la shortcut kwenye computer yako. Tumia strong antivirus kama vile
1. Kaspersky Internet Security
2. Bitdefender Total Security
3. AVG Internet Security
4. ESET NOD32 Antivirus
5. Malwarebytes
Post a Comment