Jinsi ya kupiga simu, kutuma meseji na kuongeza salio kwa kutumia computer



Mahitaji

Download Mobile Partner 
Download MP Hidden feature 

1. Install Mobile Partner. Baada ya kuinstall ifunge dashboard ya Mobile Partner kwenye computer yako. Kama utakuwa umeifungua default dashboard ya modem yako ifunge pia.

2. Fungua folder la MP Hidden feature. Copy files zote ulizozikuta humo. 

3.Nenda kwenye desktop ya computer yako, itafute mobile partiner kisha right click on it na click on open file location


4. A new window should open, Paste file zako za MP Hidden feature humo au unaweza bonyeza CTRL + V kwa pamoja. Baada ya kupaste. Funga folder la Mobile Partner


5. Fungua Mobile Partner yako na huu ndiyo muonekano wake. Utaweza kupiga simu, kutuma meseji na kuweka salio kwenye computer yako


Kupiga simu


Kuweka salio au kuangalia salio . Juu kulia kwenye dashboard ya Mobile Partiner. Bonyeza kwenye >> kisha Bonyeza USSD. 


Weka namba zako hapo. Kama utataka uweke namba bonyeza Edit command


Unaweza kubadili connection type kama mmojawapo inasumbua ku-connect

How to fix connection terminated in Mobile Partner



1. Bonyeza kwenye tool kisha Options


2. Kisha bonyeza kwenye General. Ingia kwenye Connection type. Utaweza kubadili kwa kuweka RAS (modem) au NDIS


No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.