Jinsi ya kuflash, Downgrade na Upgrade Simu Yoyote ya Oppo

Njia hii itakuwezesha kuflash aina yoyote ya simu ya Oppo kama vile Oppo A37F, F1 & F1 Plus na zingine. Nimekuandalia Video
ya kukuwezesha kuflash simu yako ya Oppo kwa Urahisi zaidi.

Muhimu

Hakikisha simu yako inachaji 50%

Mahitaji

Oppo Stock  ROM
SD Card (Memory Card).

Hatua kwa hatua jinsi ya kuflash simu za Oppo

1. Download hii video hapo chini na fuata maelekezo yote yaliyoko kwenye video



No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.