Jinsi ya kufufua meseji za WhatsApp zilizofutwa


Fuata hatua hizi kurudisha meseji zilizofutika kwenye WhatsApp.

Jinsi ya kurudisha meseji za WhatsApp zilizofutika ndani ya muda wa siku 7

HATUA

1. Uninstall WhatsApp apk kwenye simu yako,  kisha download tena WhatsApp apk na install kwenye simu yako

2. Ifungue App ya WhatsApp, baada ya kujaza detail zako itakuomba u-restore taarifa zako. Restore. Hapo utaweza kurudisha taarifa zilizofutika ndani ya siku 7


Jinsi ya kurudisha meseji za WhatsApp zilizofutika zaidi ya muda wa siku 7

HATUA

1. Download File Manager apk na install kwenye simu yako

2. Uninstall app ya WhatsApp  kwenye simu yako

3. Fungua app yako ya File Manager

5. Nenda kwenye faili la /sdcard/WhatsApp

6. Chagua tarehe yeyote ili kufufua meseji za tarehe hiyo. Baada ya hapo badilisha jina la faili hilo kwenda msgstore.db.crypt


7. Download WhatsApp apk  na install  kwenye simu yako. Kisha jaza taarifa zako na ikifika hatua ikakuomba u-restore. I-restore. Faili la  msgstore.db.crypt ndio litakalorudisha taarifa zote kwenye WhatsApp yako na utaona meseji zote. Hapo utakuwa umefanikiwa kurudisha taarifa zako.

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.