Jinsi ya kutumia App za whatsApp mbili kwenye simu mmoja
Njia ya 1
1. Download WhatsApp na install kwenye simu yako.
2. Download WhatsApp Business na install kwenye simu yako.
Mpaka hapo utaweza kutumia kutumia account za WhatsApp mbili kwenye simu yako.
Njia ya 2
1. Download Parallel Space na install kwenye simu yako. (Hakikisha umeweka laini ya pili unayotaka kuiunganisha na WhatsApp
2. Fungua app ya Parallel Space. Kisha chagua app ya WhatsApp kwenye simu yako
3. Ifungue na kisha weka namba ya laini ya pili kisha endelea na hatua zingine
Njia hii pia utaweza kutumia account mbili za Facebook, Twitter na Instagram kwenye simu yako
Njia ya 3
1. Ingia kwenye Whatsapp account yako. Kisha ingia settings
4. Uninstall Whatsapp kwenye simu yako.
5. Download GB Whatsapp na install kwenye simu yako.
6. Kisha ifungue na uendelee na hatua za zingine
7. Download Official Whatsapp na install kisha ifungue na uinganishe na namba ya pili.
Mpaka hapo utakuwa umeweza kutumia account mbili za Whatsapp katika simu yako
Kuficha chats (Kuhide) kwenye Unofficial WhatsApp
1. Long press chats unazotaka kuzificha
2. Bofya kwenye doti 3 juu kulia kisha, tap kwenye neno hide
3. Unaweza kuweka pattern kwa ulinzi zaidi (ili mtu asiweze kuingia kuona chati zako). Chagua swali na ujibu (hii itakusaidia pindi umesahau pattern)
Kuona chart
Ili uweze kuona chati zako, tap kwenye WhatsApp (Juu kushoto)
Weka pattern. Utaona chati zako zote
Kuzifichua charts kwenye whatsApp yako
1. Tap kweny neno WhatsApp, weka Pattern kisha Long press Chats zako kisha mark Chat as visible.
Kubadilisha muonekane wa maandishi tumia
-Kukoleza maandishi kwa kuandika *maneno*
-Kuandika meseji kwenye staili ya mlazo kwa kuandika_maneno_
-Pia utaweza kutumia ~maneno~
Matoleo ya unofficial whatsApp ni
FM whatsApp
OG whatsApp
FA whatsApp
MG whatsApp
GB whatsApp
Yo whatsApp
Post a Comment