Sasa hivi kumekuwapo na lindi la simu zinazotumia mtandao mmoja hivyo kukunyima uhuru wa kutumia mtandao unaotaka. Kibaya zaidi kwenye simu inayotumia mtandao mmoja. Slot ya Sim Card mmoja imefungwa yaani huwezi kutumia mtandao mwingine. Kwenye hiyo Slot mmoja unapata internet yenye kasi Mahitaji Download Nokia, Samsung, Panasonic, Siemens, Sony Ericsson, NEC & LG Download ZTE, Viki, Vodafone, Itel, Samsung Download Motorola, HTC, Alcatel na Huawei Hizi ni software ambazo zitakusaidia kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja kama vile Huawei, Blackberry, Nokia, Samsung, Itel, Vodafone n.k kwa njia ya imei. Zinafungua mpaka modem inayotumia mtandao mmoja. Baada ya kudownload, unaextraxt, unai-run kwenye computer yako kisha unaweka imei ya simu yako ili upate unlock code. Kwenye simu yako weka laini ya mtandao mwingine itakuomba unlock code.
Unlock phone, Modem & Router itumie mitandao yote
ReplyDelete