Jinsi ya kurudisha Data Ulizofuta kwenye Computer na Simu
SIMU
Kama umefuta Photos, Meseji, Call history na Contacts kwenye simu. Tumia hizi apps zitaweza kurudisha data zako kwenye simu
1. DiskDigger photo recovery apk
2. GT Recovery Undelete Restore data recovery apk
3. Recover All My Deleted File data recovery apk
4. Recover Deleted Call Logs data recovery apk
5. SMS Recovery apk
COMPUTER
Hizi ni software zitakazo rudisha data zako kwenye computer, Macbook, Flash drive, Hard drive, Simu, Memory Card (SD Card), CD na DVD
1. 7 Data Recovery
2. Wondershare Data Recovery
3. Recuva
4. EASEUS Data Recovery Wizard Professional Edition
5. iSkysoft iPhone Data Recovery
6. EaseUS MobiSaver for Android
7. Minitool Data Recovery
8. Macbook Data Recovery
Muhimu
Ni vizuri ukiwa unafanya backup data zako za muhimu kwenye kifaa chako kwasababu hii ndiyo njia salama za kuhifadhi data zako. Unaweza kuhifadhi data zako kwenye Flash drive, hard disk, memory na Cloud storage kama Mega, Google drive na 4shared. Kama una vitu vya muhimu sana kama
photos, contacts, video za harusi, msiba n.k hifadhi kwenye Mega, Google drive au 4shared.
Post a Comment