Jinsi ya kuroot Vodafone Marshallow VFD 301

Kuroot simu ni kitendo cha kujipa mamlaka juu ya utumiaji wa simu upendavyo kwahiyo unaweza kubadilisha mfumo wa simu utakao. Unaweza kutoa Application, kubadilisha mwandiko  kwenye simu yako. 

Muhimu

- Wezesha Developer Options kwenye simu yako kwa kuingia Settings >>> About Phone >>> Build Number. Bonyeza Build Number Mara 7 mpaka ikuletee ujumbe "You are now a Developer". Bonyeza Back Button utaona Developer Option. Ingia hapo kisha weka tiki kwenye USB Debugging, Kisha ingia Setting >>> Security >>> Unknown Source. Weka Tiki kwenye Unknown Source.
- Hakikisha simu ina chaji asilimia 50%

Mahitaji

Download TWRP Recovery
Download SP Flash tool
Download Vodafone Stock ROM 301 
Download Mediatek VCOM USB driver
Download Supersu.zip

Hatua kwa hatua jinsi ya kuflash TWRP Recovery kwenye Vodafone VFD 301

1. Download Mediatek Preloader USB VCOM kisha install kwenye Computer yako. Jinsi ya kuinstall VCOM driver kwenye Computer yako kama unatumia Windows yenye 64 Bit Disable Driver Signature kwenye Ccomputer yako kisha install VCOM diver zako

2. Badilisha Recovery.img kwenye Vodafone stock ROM na TWRP Recovery (Recovery.img) uliyoidownload


2. Fungua Splash Flash tool na run as an administrator. Bonyeza Scatter-loading File choose


3. Chagua file lako la MT6580_Android_scatter. Weka tiki kwenye recovery pekee. 


4. Bonyeza Download. Zima simu yako, toa battery na kisha rudisha. Chomeka simu yako kwenye computer kwa USB Cable. Itatokea kibox cha kijani tayari utakuwa umefanikiwa kuflash TWRP


Jinsi ya kuroot simu ya Vodafone Marshallow VFD 301

A. Copy Superuser.zip kwenye memory card kisha iweke kwenye simu yako
B. Zima simu yako kisha bonyeza Power button+volume up+volume down kwa pamoja ili kuingia kwenye recovery mode
C. Ikishawaka kwenye recovery mode
D. Bonyeza Install, chagua file lako la Superuser.zip uliloliweka kwenye memory card
E. Bonyeza Swipe to flash. Subiri mpaka imalizike kisha itajireboot. Mpka hapo itakuwa tayari
F. Download Supersu apk ili kuhakikisha kama ipo rooted

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.