Jinsi ya kuroot Vodafone Smart Tab 3G VFD 1100
Muhimu
- Wezesha Developer Options kwenye simu yako kwa kuingia Settings >>> About Phone >>> Build Number. Bonyeza Build Number Mara 7 mpaka ikuletee ujumbe "You are now a Developer". Bonyeza Back Button utaona Developer Option. Ingia hapo kisha weka tiki kwenye USB Debugging. Kisha ingia Setting >>> Security >>> Unkown Source. Weka Tiki kwenye Unkown Source.
- Hakikisha simu ina chaji asilimia 50%
Mahitaji
Download TWRP Recovery
Download SP Flash tool
Download MT6580 Scatter file
Download Mediatek USB VCOM Drivers
Download Superuser.zip
Hatua kwa hatua jinsi ya TWRP Recobery Vodafone Smart Tab 3G VFD 1100
1. Download Mediatek USB VCOM kisha install kwenye Computer yako. Jinsi ya kuinstall Mediatek VCOM USB driver kwenye Computer yako kama unatumia Windows yenye 64 Bit Disable Driver Signature enforcement kwenye Computer yako kisha install VCOM diver zako
2. Fungua Splash Flash tool na run as an administrator. Bonyeza Scatter-loading File choose
3. Chagua file lako la MT6580_Android_scatter. Hakikisha MT6580_Android_scatter na recovery.img umeweka kwenye folder mmoja ili recovery.img iweze kuonekana SP Flash tool. Kama isipoonekana file la recovery.img, weka tiki kwenye Recovery, chagua file lako la recovery.img
4. Bonyeza Download. Zima simu yako, toa battery na kisha rudisha. Chomeka simu yako kwenye computer kwa USB Cable. Itatokea kibox cha kijani tayari utakuwa umefanikiwa kuflash TWRP
Jinsi ya kuroot simu ya Vodafone smart tab 3G VFD 1100
A. Copy Superuser.zip kwenye memory card kisha iweke kwenye simu yako
B. Zima simu yako kisha bonyeza Power button+volume up+volume down kwa pamoja ili kuingia kwenye recovery mode
C. Ikishawaka kwenye recovery mode
D. Bonyeza Install, chagua file lako la Superuser.zip uliloliweka kwenye memory card
E. Bonyeza Swipe to flash. Subiri mpaka imalizike kisha itajireboot. Mpka hapo itakuwa tayari
F. Download SuperSu apk ili kuhakikisha kama ipo rooted
Post a Comment