Jinsi ya kutatua tatizo la WhatsApp kushindwa kutumia Cellular Data mpaka Wifi


Fuata hatua hizi kutatua tatizo la WhatsApp kushindwa kutumia Cellular Data kwenye simu yako

1. Ingia Settings 

2. HI MANAGER 
    >Data traffic Management 
    >Whatsapp toa tick

Mpaka hapo utaweza kutumia internet ya kawaida kwenye simu yako
yako


JINSI YA KUTUMA APP KWENYE WHATSAPP

1. Download Apk Extractor na install kwenye simu yako then itumie kushare app.

2. Download back up apk na install kwenye simu yako then fungua nenda sehemu ya back up whatsapp iback up  halafu nenda My Files/File manager folder la back up > App utaikuta application yako kama file litume. 

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.