Jinsi ya kuzuia picha, video na website za ngono zisionekane mtandaoni
Inachukiza sana unapokuwa mtandaoni unatafuta taarifa fulani lakini unaletewa picha, video na website za ngono. Tumia njia hii pia kumkinga mwanao na tabia hatarishi
Tumia njia hii kuzuia picha, video na website za ngono zisijitokeze unapoperuzi taarifa fulani mtandaoni kwenye simu au computer yako.
1. Ingia kwenye Page ya Google. Bonyeza Settings kisha bonyeza Turn on SafeSearch. Ukiset SafeSearch huwezi kuletewa picha, video au website za ngono hata uandike maneno ya matusi au website za ngono hutaletewa hizo website.
2. Kuturn off SafeSearch. Bonyeza Settings kisha Turn Off SafeSearch
1. Ingia kwenye website ya Bing Settings kisha more
2. Bonyeza kwenye strict kisha bonyeza Save button ili kusave changes. Hapo hata utafute neno gani au website gani ya ngono huwezi kuipata.
Post a Comment