Jinsi ya kutumia App yoyote ya kulipia bure kwenye simu yako
Fuata hatua hizi ili uweze kuchakachua app ya kulipia bure kwenye simu yako
1. Download Lucky Partcher na install kwenye simu yako. Fungua app yako ya Lucky Partcher na kisha chagua app unayotaka kuichakachua
2. Bonyeza app yako unayotaka kuichakachua kwa sekunde kadhaa itatokea option kama hii ya kwenye picha chini kisha chagua Custom Patch
3. Bonyeza Code.patch.com.jb.goesms
4. Bonyeza Apply
5. Bonyeza Move to/Sd Card. Ingia kwenye SD card utaiona App yako kisha install kwenye simu yako. Mpaka hapo utaweza kutumia premium app kwenye simu yako
Post a Comment