Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu na computer yako

Kuna wakati upo kwenye internet unaperuzi mara linajitokeza tangazo au matangazo (Ads) yanafunika screen au yanajitokeza mara kwa mara (pop ups ads). Pia matangazo haya hujitokeza mpaka kwenye applications za simu kama vile whatsapp na apps zingine. 

Hatua za kufuata ili uweze kuzuia matangazo (Ads) kwenye simu na computer yako

SIMU

Njia hii inafanya kazi kwenye simu ambazo ni rooted na isiyo-rooted pia.

Njia ya kwanza 

1. Download lucky patcher apk na install kwenye simu yako. Fungua luck patcher na tafuta app unayotaka kuiondolea matangazo



2. Select hiyo app, uishikilie kama unacopy kisha tap kwenye create modified apk



3. Tap on apk without Google ads


4. Tap rebuild app. zilizowekewa tick ni common settings za kuremove Google ads




5. Baada ya ku-build app. Fungua file ambalo modified apk yako imejisave. install hiyo apk. Na hapo utakuwa umefanikiwa kuondoa matangazo kwenye simu


Njia ya pili

SIMU

Download na install App mojawapo kati ya hizi



Nvs apk

Kama matangazo bado yanajitokeza. Ingia Settings kwenye simu yako kisha, Apps na uninstall apps hizi
   - com.android.yellowcalendarz (每日黄历)
   - com.changmi.launcher (畅米桌面)
   - com.android.services.securewifi (系统WIFI服务)
   - com.system.service.zdsgt
Hizi ni apps ambazo zinasababisha matangazo kwenye simu.

COMPUTER

Download Slim ads blocker na install kwenye computer yako . Hili ni bonge la software linaondoa ads zote kwenye computer yako.

Njia ya tatu

Chrome

Kama matangazo yanajitokeza kwenye Google Chrome wakati unafungua, inabidi u-disable notification. 

SIMU

(i) 1. Fungua Google Chrome, Bonyeza vidoti vitatu kulia
2.  Settings
3. Content settings kisha disable Block pop-ups na Notification. Kama utakuta Website usizozijua basi disable zote.

(iii) HATUA YA KWANZA
1. Ingia Settings kwenye simu yako >> Connections >> More connection Settings
2. Bonyeza Private DNS
2. Bonyeza kwenye Private DNS provider Hostname

Kisha jaza anwani moja kazi ya hizi

dot-de.blahdns.com
dns.adguard.com
dot-jp.blahdns.com
dns-family.adguard.com 

Kisha Bonyeza Save

HATUA YA PILI

1. Kisha fungua Google Chrome browser, andika anwani hii chrome://flags

2. Kwenye Async DNS Resolver andika #enable-async-dns. Kisha save

Mpaka hapo hautaona matangazo yoyote kwenye simu yako.

Computer

Chrome

1. Bonyeza vidoti vitatu mkono wa kulia mwa browser yako. Bonyeza settings
2. Bonyeza kwenye Advanced
3. Privacy and Security
4. Site Settings
5. Notification. Block
6. Ads. Pia block
7. Pop ups and redirect. Block pia

Firefox

1. Fungua Firefox browser, Bonyeza vidoti vitatu kulia mwa browser yako
2. Bonyeza Settings >>> Content >>> Block Pop-up windows. Weka tiki kwenye Block pop-up windows

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.