Jinsi ya kuunlock modem ya Huawei E8231s-1 Airtel Wingle
Mahitaji
- E8231 Unlocked Firmware
- Huawei calculator
Hatua kwa hatua namna ya kuunlock modem ya E8231s-1 wingle ya Airtel na za mitandao mingine. Unlock e8231s-1 Wingle
1. Chomeka modem yako kwenye computer, install na uifunge. (weka laini tofauti na ya mtandao husika)
2. Fungua Huawei calculator, Bonyeza kitufe cha Huawei, weka IMEI namba ya Modem yako (Funua mfuniko wa modem yako utaziona IMEI). Kisha bonyeza kitufe cha Calculate ili kupata flash code
3. Extract E8231s-1 unlocked firmware na ui-run kwenye computer yako. Bonyeza Start button
4. Itakuomba Unlock code. Weka za Flash code kisha bonyeza OK
Subiri mpaka imalizike. Mpaka hapo utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka.
Tags: Namna ya kufungua modem ya E8231s-1 Wingle iweze kutumia SIM Card za mitandao mingine
Post a Comment