Jinsi ya kuunlock modem za vodafone k3565-z, k3570-z na k3571-z

NJIA YA KWANZA

Mahitaji


Hatua za kufuata ili kuunlock modem yako ya ZTE. Unlock k3565-z, Unlock k3570-z & Unlock k3571-z. Namna ya kufungua modem za Vodafone k3565-z, k3570-z na k3571-z ziweze kutumia mitandao yote.

1. Chomeka modem yako kwenye computer na uiache mpaka imalize kuinstall drive za modem yako. Kisha chomoa na weka SIM Card ya mtandao mwingine. Na iache ifungue dashboard na itakuletea ujumbe huu. Itatatokea hii meseji. Click Yes



2. Utaona haina haiwezi kusoma hiyo SIM Card.  Right click na bonyeza Exit Vodafone Broadband na click Ok


4. Baada ya ku-download na kuinstall Join Air. Fungua Join Air itakubali kusoma SIM Card ya mtandao tofauti


5. Click settings, then click Add, Advance, configure name jaza Internet, Dial Number *99# na APN weka tick kwenye Obtain APN address automatically kisha save.


6. Bonyeza Apply, UMTS/HSPA only na kisha OK.


7. Click preference, unaweza chagua Automatic au mannual ambapo kwenye manual unaweza chagua 3G au GPRS/EDGE


8. Click sytem na uncheck automatically kufungua Join Air unapochomeka modem, click Apply na Ok.


JINSI YA KUFANYA JOIN AIR IFUNGUKE AUTOMATICALLY KWENYE COMPUTER YAKO WAKATI UNAPOCHOMEKA MODEM

Mahitaji

Download Putty

i. Ingia controla pannel, system, hardware na kisha Device. Right click kwenye My computer au This PC, kisha Manage. Device manager kisha Modems. I-double click ili kupata port namba ya modem yako. Funga Computer management


ii. Fungua Putty software, click session kisha serial. Hapo andika ile port namba kutoka kwenye Device manage-Modem. Kisha click open


iii. Baada ya kuclick Ok, itafunguka window kama ya command prompt. Unaweza usione unachoandika lakini yeye inakuwa imeandika kwahiyo inabidi uwe makini


-Andika ATX  and click enter
-Andika ATI and press enter 
-Andika AT+ZCDRUN=8 anda press enter (Kama umekosea italeta Error kama umepatia italeta Close autorun state result (0:FAIL 1:SUCCESS):1

iv. Right click kwenye Icon ya modem yako na kisha chagua eject au exit. Chomoa modem yako



v. Rudi kwenye software na click ok, kisha ifunge



UKITAKA UIRUDISHE IWE KAMA MWANZO INAFUNGUKIA KWENYE DASHBOARD YA ZTE

-Andika AT+ZCDRUN=9 and press enter
Utaona imeandika open autorun state result (0:FAIL 1:SUCCESS) : 1 kisha Eject na chomoa ma uchomoke modem yako itarudi
kama mwanzo.


9. Fungua Join Air, click kwenye system na uweke tiki kwenye auto start device is available na hapo modem yako itakuwa
inafunguka yenyewe ukichomeka modem.
PICHA 9F

NJIA YA PILI

1. Download Modem calculater na kisha i-run kwenye computer yako. Weka IMEI za modem kwenye software yako 

2. Chomeka modem kwenye computer yako ikiwa na laini tofauti ya mtandao husika. Itakuomba unlock code. Weka ulizozipata kwenye unlock code

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.