Jinsi ya kuunlock simu ya TECNO Y3+ itumime mitandao yote
Download MTK ENGINEERING/ ENGINEERING mode/ ENGINEERING MODE SHORTCUT
Hatua za kufuata ili uweze kuunlock Simu yako ya Tecno Y3+
1. Download MTK Engineering mode kisha ifungue
2. Bonyeza Telephony
3. Shuka chini, utafute neno SIMME LOCK au SIM LOCK kisha bonyeza hapo. Ikishamalizika
4. Utaona neno NETWORK PERSONALIZATION. Bonyeza hapo
5. Utaona neno UNLOCK/NETWORK UNLOCK. Ukibonyeza hapa itaomba unlock code weka 12345678
6. Ikishamalizika step namba 6, bonyeza button ya back utaona neno PERMANENTLY UNLOCK. Bonyeza hapo
7. Restart simu yako. Hapo utaweza kutumia SIM CARD mtandao wowote ule.
Post a Comment