Jinsi ya kuongeza ukubwa wa flash drive kutoka 4GB mpaka 16GBytes
Download SDATA Tool
Hatua za kufuata ili kuongeza ukubwa wa flash drive yoyote
1. Download na ui-extract file lako kwenye computer. Tumia WinRar Archiver
Kuunzip file lako. Right click na bonyeza kwenye run as administrator
2. Chini ya configuration: kwenye choose your data to compress, bonyeza hapo uchague herufi ya flash drive yako.
3. Hapo kwenye MYDATA. Unaweza kuweka jina lolote unalotaka kisha bonyeza E-Compress NOW. Iache mpaka imalizike. Usiguse.
4. Bonyeza kwenye OK. Na flash drive yako itakuwa tayari kama inavyooneka kwenye
Post a Comment