Jinsi ya Kujua Website Yoyote Ina Post za Kucopy Kutoka Website Zingine

Kuna tatizo la kukopiana post kwenye blog. Mtu akiona post fulani kwenye blog, website au forum basi yeye anachukua kama ilivyo na na kuweka kwenye blog yake. Hii ni njia itakayokusaidia kujua blog yoyote ina content za kucopy.

NJIA YA KWANZA

Ingia kwenye website ya Copyscape. Kisha weka Url ya blog yako na bonyeza Go



NJIA YA PILI

Ingia kwenye Website ya Siteliner. Weka Url ya blog yako kisha bonyeza GO