Jinsi ya Kuondoa Copyright Credit au Footer Credit Kwenye Template Ya Blog Yako
Mahitaji
Copyright Remover
Hatua kwa hatua jinsi ya kuondoa Created by Soratemplates | Distributed by free blogger template kwenye template ya blog yako
1. Fungua copyright line tex file ulilolidownload juu. Kisha kwenye https:// andika jina la blog yako na >andika jina la blog yako kama inavyoonekana kwenye picha
2. Ingia kwenye blog yako. Kisha nenda kwenye Theme, kisha bonyeza Edit HTML
3. Bonyeza Ctrl+F kwenye keyboard yako. Itatokea Search Bar. Andika Copyright au Created. Acha mstari mmoja chini ya row'> paste text . Acha mistari miwili baada ya kupaste copyright line text. Kisha shuka chini kwenye </div> kisha bonyeza enter ili kuongeza mstari mmoja kisha andika </div> ianzie kwenye d kama inavyoonekana kwenye picha
Download hii Video ili kujifunza zaidi kama haujaelewa
Post a Comment