Jinsi Ya Kuweka Scroll to Top Button Kwenye Blog Yako


Hii itamrahisishia msomaji kwenye blog anapofika mwisho wa page kwahiyo atabonyeza Scroll to top button kurudi kwenye home page.

Jinsi ya kuweka Scroll to top button kwenye blog yako

1. Ingia kwenye website ya free scroll to top buttons. Chagua Scroll to top button unayoitaka. Kisha Copy script



2. Ingia kwenye blog yako. Bonyeza Layout, Add a Gadget kisha bonyeza HTML/JavaScript



3. Paste Script yako kama inavyooneka kwenye picha. Bonyeza Save na kisha bonyeza Save arrangement na scroll to top button itaonekana kwenye blog yako



No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.