Jinsi ya Kuweka Translate Button kwenye Blog yako

Hii itakusaidia watembelaji wako ambao hawafahamu lugha uliyotumia kuandikia Articles zako kuweka kwenye lugha waipendao kwahiyo content za blog yako zitaweza kusomwa na mtu yoyote yule.

Hatua za kufuata ili kuweka translate button kwenye blog yako

1. Ingia kwenye blog yako. Click on Layout, kisha Add a Gadget



2. Chagua Translate. Kisha bonyeza alama ya kujumlisha



3. Bonyeza Save.



4. Mpaka hapa utakuwa umemaliza kuweka Translate button kwenye blog yako


No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.