Jinsi ya kuunbrick modem na router baada ya kuflash wrong firmware

Hii utokea baada ya kuflash wrong firmware, computer kuzima au kuchezesha modem yako kipindi unauulock modem yako iweze kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule. Baada ya kubrick modem yako haitaweza kudetect kwenye computer yaani haitasoma kabisa kwahiyo kwa kutumia njia hii utaweza kufufua modem yako na kuirudisha kwenye uhai tena.

Muhimu

Unapotaka kuunlock modem au router kwa njia ya kuflash firmware, ni vizuri kufungua mfuniko wa modem au router yako ili uweze kupata taarifa kamili za modem au router yako. Usitumie HUAWEI MODEM Code Writer kwasababu hautaweza kupata taarifa kamili na matokeo yako utaweza kuua (brick) modem 
au router yako.



Jinsi ya kufufua modem iliyokufa baada ya kuflash wrong firmware wakati wa kuunlock modem au router

Njia ya kwanza

Unatakiwa uangalia modem yako ni Hilink yaani zile zinafungukia kwenye browser au kwenye dashboard. Zinazofunguka kwenye browser ni Hilink

1. Download Dashboard Drivers au Hilink drivers za modem au router yako kama ni e303, e303, R6601,E5573s-606, E3372h-153, E5573s-322, DWM-157, DWM-222
Google utazipata kulingana na model ya modem au router yako

2. Download firmware ya modem au router yako kisha flash. Firmware zimo humu humu au unaweza kugoogle zaidi kwa msaada zaidi

Njia ya pili

Mahitaji

Download Huawei HiSilicon Firmware Flasher

Kwa njia hii utaweza kuunlock modem na ku-unbrick modem yako ya e153u, e303c, E303h, na E303s, e173u,eE173z na 175c. Unbrick e153u, Unbrick e303c, Unbrick E303h, Unbrick E303s, Unbrick e173u,Unbrick e173z & Unbrick e175c

Njia hii haitaji internet connection. Ni offline method. Namna ya kuunbrick modem yako baada ya kuflash na wrong firmware

1. Download HiSilicon firmware flasher na install kwenye computer yako. Kisha ifungue

2. Chomeka modem yako kwenye computer. Kama unataka kuunlock, funga dashboard ya modem kwenye computer yako

3. Untick Auto na uchague model ya modem yako kama e153u, e303c, E303h, na E303s, e173u, eE173z au 175c kisha bonyeza flash iache mpaka imalize process zote. Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock au kuunbrick modem yako


Read more Fungua modem ya Huawei E5221S-2 Tigo Tanzania itumie mitandao yote

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.