Jinsi ya kuunlock modem ya huawei e3131
Mahitaji
Huawei Code Calculator
E3131 Firmware
Namna ya kufungua modem ya e3131 Zantel itumie mtandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer kwa ajili ya kuinstall driver za modem. Ikishamaliza funga dashboard ya modem yako. Hakikiksha umeweka laini tofauti na inayotumika kwenye modem
2. Fungua universal Calculator kisha weka Imei za Modem yako na bonyeza calculate ili kupata Flash code. Kupata IMEI fungua mfuniko wa modem yako.
3. Run firmware yako ya huawei e3131. Itakuomba password, weka Flash code na usubiri mpaka imalize na itakuwa tayari
Mpaka hapo utakuwa umeweza kufungua modem ya Huawei E3131 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment