Jinsi ya kudownload Audio, Video na Apps kwenye iPhone


Iphone ina ugumu kidogo katika kudownload app, music na mafile mengine kutoka kwenye vyanzo vingine tofauti na Apple store. Kupitia njia hii itakusaidia kudownload Audio, Movies, Video, Apps na mafile mengine kutoka Google.

Hizi ni app zitakazokusaidia kudownload app, music ma mafile mengine kutoka kwenye vyanzo vingine

Document


Hii ni app ambayo itakusaidia kudownload music mtandaoni na kuplay offline kwenye simu yako ya iPhone

Ingia Apple Store download app inaitwa Document. Tumia browser iliyoko kwenye Document kudownload file zako mitandao kama ni music au video


Tumia hizi app kudownload mafile kutoka kwenye vyanzo vingine tofauti na Apple store

Music

Spotify 
Tubidy 
Red Music
Iplay
Deezer

Radio

Hii ni app itakayokusaidia kusikiliza Radio mtandaoni kwa kutumia simu yako ya iPhone

Tunein

Apps zingine

Installous ni app ambayo itakusadia kupata Paid apps bure zinazouzwa Apple store. Ni mbadala wa Apple store

iFileExplorer, itakusaidia kutuma mafile kutoka kwenye iphone kwenda kwenye computer. Ni kama Xender

3G Unrestrictor, itakusaida kucheat app zinazotaka u-download kwa njia ya WIFI au kutumia kwa njia ya WIFI kwahiyo kupitia hii app itakuwezesha kutumia app au kudownload bila WFI

DreamBoard, itakuwezesha kutumia app za Android, Blackberry kwenye simu yako ya iPhone. Kwahiyo utaweza kutumia app ya Google kwenye simu yako ya iPhone

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.