Download Application za kulipia kutoka Google Play store bure

Hizi ni apps zitakazokuwezesha kudownload application zinazouzwa play store bure. Kuna app zinazouzwa play store kama poweramp na zingine kwahiyo kupitia hizi app utaweza kudownload bure. Hizi apps ni mbadala wa Google Play store. Website bora za kudownload Games kwenye simu yako

Zifuatazo ni apps zinazotumika kama mbadala wa Google Play store ila hizi utaweza kudownload app yoyote inayouzwa Google play store bure.

Aptoide



Hii ni app itakayokuwezesha kudownload apps mbali mbali kwa ajili ya simu yako. Download Aptoide apk kisha install kwenye simu yako.

Blackmat



Blackmart Alpha Android ni app itakakusaidia kupata app nyingi za kulipia bure. Hakuna malipo yoyote kudownload paid app kwenye Blackmart Alpha Android. Download Blackmat apk na install kwenye simu yako uanze kufurahia ulimwengu wa app

Acmarket



Hii ni moja ya app itakayokupa paid apps bure yaani utaweza kudownload paid apps zinazopatikana Play store bure. Acmarket apk ni mbadala wa Google play store

4shared


4shared apk ni app itakayokuwezesha kudownlod paid application bure bila malipo yoyote. Download na install kwenye simu yako na uanze kufurahia ulimwengu wa paid application.
Read more >>>> Jinsi ya kudownload application za simu bure mtandaoni

1 comment:

Note: Only a member of this blog may post a comment.