Jinsi ya kuunlock modem za ZTE

Hizi modem zinajumuisha k3570-z, K3565-Z, K3765-Z, K4505-z, K3571-Z, K3765, K3772 na K3370Z. Hizi ni modem ambazo zimefungwa Dashboard tu ili uweze kutumia mtandao mmoja tu. Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua modem za ZTE na utaweza kutumia SIM Card za mitandao mingine. mingine. Unlock k3570-z, Unlock K3565-Z, Unlock K3765-Z, Unlock K4505-z, Unlock K3571-Z, Unlock K3765, Unlock K3772 & Unlock K3370Z.

Mahitaji

Download Join Air

Hatua kwa hatua namna ya kuunlock modem za ZTE

1. Download Join Air na install kwenye computer yako kisha ifungue

2. Chomeka modem yako kisha ifungue ikiwa na SIM Card tofauti


Mpaka hapo utaweza kutumia internet kwa SIM Card yoyote ile

1 comment:

Note: Only a member of this blog may post a comment.