Mambo ya kuzingatia unaponunua Flash Drive, Hard Disk na Memory Card
Sasa hivi kumekuwepo na lindi la Flash drive, Hard disk na Memory card feki kwahiyo usipokuwa makini utajikuta umeuuziwa feki ambayo lazima ikusumbue. Unapoweka data zako kama Audio au Video haziplay
Mambo ya kuzingatia unaponunua Flash drive
1. Speed
Speed ni kitu muhimu sana unapotaka kununua flash drive, kuna baadhi ya flash drive zinaspeed ndogo sana utakuta video yenye ukubwa wa GB 1 unatumia nusu saa. Ukipata yenye 13mbs/s siyo mbaya unaweza kununua
2. Cover la Flash drive
Angalia flash drive lenye cover ngumu, ikiwezekana hizi za shaba au chuma kama zipo ili iweze kudumu kwa muda mrefu
3. Size
Size ni jambo muhimu sana la kuangalia kwahiyo ni vile ukipata ya kuanzia 1GB na kuendelea
Mambo ya kuzingatia ili kuepuka kuuziwa flash drive feki
1. Nunua kwa muuzaji anayetambulika na siyo hawa wa vichororoni maana kuna asilimia kubwa ya kuuziwa flash Drive feki
2. Hamisha baadhi ya data kama Video, Audio, doc nk
- Copy nyimbo 20 kisha weka flash drive. Play nyimbo kama zitalia zikishindwa basi hiyo ni feki
- Copy Video mbili zenye ukubwa wa GB 1 na zingine zenye ukubwa kuanzia 30 na kuendelea. Weka 5 zinatosha. Play Video zikishindwa
hiyo ni feki
- Copy PDF na doc file kisha zifungue. Zikishindwa hiyo ni feki
Hakikisha mafile yote yapo kama 100 hivi maana flash drive feki huwa haziwezi kucheza mafile ya kuanzia 20 na kuendelea
3. Format
Kuna baadhi ya flash drive feki zinasize ndogo kama mb 500 lakini utakuta imeandikwa GB 4 au GB 16 na inasoma hivyo ila ukiiformat inakuletea size kamili
Mambo ya kuzingatia ili kuepuka kuuziwa Hard disk feki
1. Size
Angalia ukubwa wa Hard disk yako kwa kuchomeka kwenye computer kama ni 320GB, 500GB, 1TB au 2TB. Kama utakuta size
iliyoandikwa kwenye kasha la hard disk ni tofauti na size uliyoona kwenye computer achana nayo maana hiyo ni feki. Pia format
kujua ukubwa kamili wa hard disk yako.
2. Speed
Jaribu kuhamisha file lenye ukubwa wa 2GB kama itachukua muda mrefu kuhamisha hiyo achana nayo ni feki
3. Hamisha data
Hamisha data kama zitasoma kama video na Audio kama itashindwa basi hiyo ni feki
4. Format
Weka vitu kisha format, halafu chomeka tena kama itakuletea ujumbe wa kuformat tena hiyo achana nayo au unachomeka hard disk inakuletea ujumbe wa kuformat hiyo achana nayo
5. Fungua kasha la Hard disk
Hard disk feki wakati mwingine ukiifungua huwa imewekwa flash drive na pia inakuwa nyepesi
Mambo ya kuzingatia ili kuepuka kuuziwa memory card feki
1. Download SD insight apk na install kwenye simu yako. Fungua app yako, ukiona pameandikwa Manufacturer unknown na baadhi ya taarifa zimeandikwa unknown. Hiyo ni feki
- Hamisha data kama vile Audio na video zikishindwa kusoma basi hiyo ni feki jaribu kuweka mafile yafike 40
- Speed. Ukiona inaspeed ndogo yaani inachukua muda mrefu kuhamisha basi hiyo ni feki au ukihamisha inagoma. Hiyo ni feki
- Size. Ukikuta inasize ndogo kuliko size yenyewe yaani imeandikwa 4GB halafu ikasoma 2GB hiyo achana nayo

Post a Comment