Jinsi ya kupiga screenshot kwenye computer
Hii ni njia ya rahisi itakayokuwezesha kupiga screenshot za picha mbali mbali kwenye computer yako yaani desktop na laptop. Kama kuna maandishi au video na unataka kuipiga picha. Leo nimekuletea njia rahisi ya kuweza kupiga picha kwenye computer yako
NJIA YA KWANZA
Bonyeza Window button + prt sc kwenye computer yako na hapo itapiga picha
NJIA YA PILI
Tumia Snipping tool kupiga picha screen ya computer yako. Hii ni built in software na ni bure
NJIA YA TATU
Tumia Movavi screen capture. Hii itakusaidia kuchukua eneo unalotaka na kuedit
Post a Comment