Jinsi ya kufufua Flash Drive & Memory Card iliyokufa
Njia hii itakusaidia kufufua Memory Card au Flash drive iliyokufa. Haisomi kwenye computer yako, ukichomeka, utasikia mlio ila huoni partition yake kwenye computer yako.
Baada ya kutumia njia hii, Flash drive au Memory card itaweza kusoma tena kwenye computer yako na utaitumia kuweka file zako tena.
Tatizo hili hutokea pindi inapoharibiwa na virus, kucorrupt kwa drivers za flash au memory card, kutumiwa kwenye subwoofer au kifaa kingine tofauti na Computer. Kwa kutumia njia hii utaweza kufufua Flash drive au memory card na utaweza kuitumia tena kuweka mafile yako
Post a Comment