Jinsi ya kurecord screen ya computer yako

Hii ni njia rahisi ambayo itakusaidia kurecord maudhui (screen) yote kwenye computer yako. Kwa kutumia software hii, utaweza kurecord video ya screen ya computer yako na utaweza kuedit kwa kutumia software hii

Faida
- Itakusaidia kuchukua video ya kila unachofanya chote na kuedit. Kwa wale wamiliki wa channel za YouTube basi hii ni software nzuri
- Utaweza kuscreen shot screen ya computer yako na kuedit
- Utaweza kuedit picha yoyote ile kwa crop, kuweka maandishi n.k
- Utaweza kuresize picha yoyote ile unayotaka
- Utaweza kuweka picha yoyote kwa maandishi, mishale n.k 
- Ni software nzuri kwa kutengeneza Thumbnail

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.