Jinsi ya kufuta blog (wavuti) yako
Hii ni njia rahisi ambayo itakusaidia kufuta blog yako permanently. Unaweza kutengeneza blog nyingi na zikawa hazina post na pia unahitaji kuzifuta.
Kabla ya kufuta blog yako, unashauriwa ufanye backup kwanza. Kuhifadhi post zako ambazo utaweza kuzitumia kwenye blog zingine hata kwa WordPress
Post a Comment