Jinsi ya kubadilisha jina la Blog yako
Unaweza kutengeneza blog na baada ya muda ukataka kubadilisha jina la blog kutokana na sababu ya kiabishara, urahisi wa jina n.k
Hii ni njia rahisi ambayo itakusaidia kubadilisha jina la blog yako kwa muda mfupi. Ni rahisi na itakuchukua takribani dakika 10 tu utakuwa umemaliza.
Post a Comment