Jinsi ya kuiweka subtitles kwenye movie au series isikike kwa sauti
Unapoangalia movie ambazo zipo kwenye lugha ambayo huilewi kama vile Kichina, Kihindi, Kikorea n.k unalazima usome subtitle kwa kile episode ili uweze kuelewa movie inahusu nini.
Kwahiyo unafanya kazi mara mbili, kuangalia movie na kusoma subtitles ila kwa kutumia njia hii utaweza kuset subtitle yako isikikie kwa sauti. Sauti ya movoie utaipunguza kiasi na sauti ya subtitle itaweza kusikika vizuri.
Download AllPlayer Media Player toleo lolote kisha angalia hiyo video ili kuset subtitles yako isikike kwa sauti.
Post a Comment