Jinsi ya kuficha folder lolote kwenye computer bila kutumia software
Hii ni njia rahisi ambayo itakusaidia kuona folder (mafaili) yaliyofichwa katika computer yako. Utaweza kuficha au kufichua mafaili yaliyofichwa kwenye computer yako.
Njia hii inafanya kazi kwenye Windows aina zote kama vile XP, Vista, 7, 8, 10 na 11 ambapo utaweza kuficha document zako muhimu na mtu yoyote asiweze kuona.
Utaweza kuficha picha, video, audio, document mbali mbali zilizo kwenye PDF, Doc, Docx n.k
Post a Comment