Jinsi ya kulinda document zako zilizo kwenye mfumo wa Microsoft Word

Hii njia itakuwezesha kulinda document zako zilizo kwenye mfumo wa Microsoft word kwa password.
Utaweka password kwenye document yako ili mtu asiweze kusoma kilichoandikwa na kubadili taarifa zilizomo kwenye document.
Njia hii ni salama sana kwa watu kama walimu wanapotunga mitihani yao ili isivuje. Haina haja ya kuficha document yako ili mtu asiweze kuiona. Utaweka password na kila mtu atakayetaka kusoma, itamuomba password.
Angalia hiyo video kujifunza zaidi jinsi ya kuweka password kwa kutumia Microsoft Word


No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.