Namna ya kuifanya computer ijizime yenyewe kwa muda unaoutaka
Hii ni njia rahisi ya kuzima computer yako kwa muda wowote ule unaoutaka. Kuna wakati unatumia computer kwa muda mrefu mpaka usiku mrefu kwahiyo njia hii itakusaidia kuzima computer yako kwa muda wowote unaotaka computer yako ijizime. Unabonyeza kwenye Windows button + R kisha unaweka muda ambao computer yako itajizima. Unaweza kuweka baada ya dakika 10, dakika 20 au masaa 3 computer yako ijizime. Ikifika muda huo computer yako itajizima yenyewe
Angalia hiyo video hapo juu ambayo itakuwezesha kuset computer yako ijizime kwa muda unaoutaka
Post a Comment