Jinsi ya kuondoa write protection kwenye SD Card na Flash Drive


Kwa kutumia njia hii utaweza kuondoa write protection kwenye Memory Card na Flash drive yoyote ile. Njia hii ni rahisi na mtu yoyote anaweza kuitumia kuondoa write protection hata kama hajui masuala ya I.T
Write Protection ni mfumo wa ulinzi unaowekwa (unaweza kuiweka au kujiweka) ili kuzuia data zako zilizo kwenye flash drive au memory zisifutwe, kubadilishwa (rename) au kuongezewa mafile mengine). Njia hii hutumiwa sana kulinda Data za muhimu  kama vile vyeti, barua za ofisi, picha za familia, software (program) n.k

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.